Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akizungumza na
Balozi wa Israeli nchini, Yahel Vilan (kulia) masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Israel na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika
katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha zote
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza
Balozi wa Israeli nchini, Yahel Vilan alipokuwa akizungumza masuala
mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Mazungumzo hayo
yalifanyika katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimkaribisha
Balozi wa Israeli nchini, Yahel Vilan (kushoto), ofisini kwake jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano
kati Israel na Tanzania. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja
Jenerali Projest Rwegasira. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni