Afisa
wa Mfuko wa PSPF Tawi la Zanzibar Bi Fadhila akizungumza wakati wa
Mkutano Taasisi zisizo rasmin za Wavuvi, Madereva wa gari za mchanga,
Kifusi na Wakulima wa mbogamboga kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa
Hiari ya Mfuko wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa Betilyamin Malindi
Zanzibar.
Washiriki
wa Mkutano huo wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakimsikiliza Afisa wa
Mfuko wa PSPF akitowa maelezo kuhusiana na Mfuko huo.
Afisa
wa Idara ya Uvuvi na Maendeleo Zanzibar Ndg Mohammed Chum akitowa
maelezo wakati wa mkutano huo na Mfuko wa PSPF kwa Wavuvi wa Zanzibar
kujiunga na Mfuko huo.
Waziri
wa Kilimo Maliasili Uvuvi na Mifugo Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed
akifungua mkutano wa Wavuvi na Wananchi wasio kuwa katika Sekta Rasmin
kujiunga na Mfuko wa PSPF katika Mafao ya Hiari ili kupata huduma muhimu
za maendeleo kupitia mfuko huo.
Waziri
wa Uvuvi Mhe Hamad Rashid Mohammed akisisitiza jambo wakati wa kufungua
Mkutano wa Wadau Wasiokuwa katika Sekta Rasmin kujiunga na Mfuko wa
PSPF kupitia Michango ya Hiara ili kupata fursa mbalimbali zinazotolewa
na PSPF kwa Wanchi wa Tanzania.
Afisa
wa PSPF Zanzibar Bi Faidha Katavi akitowa maelezo kwa Waziri wa Uvuvi
kujiunga na Mfuko huo baada ya kufungua mkutano huo wa kuwahamashisha
Wananchi wasio kuwa katika Sekta rasmin kujiunga na Mfuko wa Kujichangia
kwa Hiara Mafao yao na kupata fursa zinazotolewa na PSPF kwa
Watanzania.
Mhe Hamad Rashid akijaza fomu ya Kuchangia kwa Hiari Mfuko wa PSPF baada ya kuufungua Mkutano huo na Wavuvi.
Afisa wa PSPF Bi. Faidha Katavi akitowa maelezo jinsi ya kujiunga na Mfuko wa PSPF Kujichangia kwa Hiara Mafao katika mfuko huo.
Afisa
PSPF Ndg. Hadji Jamadari akitowa maelezo jinsi ya kujiunga na Mfuko wa
PSPF kwa mafao ya kujichangia kwa hiari kupitia mfuko huo kwa Wananchi
wasio katika Sekta rasmin jinsi wanavyoweza kunufaika kupitia kuchangia
mafao kwa hiari.
Afisa
wa PSPF Ndg Hadji Jamadari akitowa maelekezo kwa Wananchi wanaojiunga
katika Mfuko wa PSPF kupitia Michango ya Hiari wakati wa mkutano huo
kutowa Elimu ya Mfuko kwa Wananchi wa Zanzibar wasio kuwa katika Sekta
Rasmin.
Afisa
wa PSPF Ndg. Hadji Jamadari akitowa maelezo ya moja ya fomu ya kujiunga
na Mfuko wa PSPF kupitia Michango ya Hiara kwa Wananchi wasiokuwa
katika Sekta rasmin, mkutano huo umewashirikisha Wavuvi, Wachimba
Mchanga, Magari ya Mizigo ya Mchanga na Kifunzi na Umoja wa Jumuiya
wakulima wa mbogamboga Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni