NDEGE ATUMBUKIA NDANI YA INJINI YA NDEGE NA KUKATISHA SAFARI KWA MUDA

Ndege iliyokuwa ikienda Mollarca, Hispania imelazimika kutua uwanja wa ndege ya Manchester baada ya ndege kutumbukia ndani ya moja ya injini.

Ndege hiyo ya Kampuni ya Thomas Cook namba TCX47MG ilitokea Glasgow majira ya 12.17 asubuhi na ilikuwa inakaribia kufika Hispania.

Hata hivyo ililazimika kutoa kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Manchester majira ya saa 12:45 asubuhi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni