China kuzindua daraja lililojuu
zaidi na lenye urefu mkubwa duniani lililojengwa na kioo katika
sehemu ya kupitia.
Daraja hilo ambalo ni kivutio cha
utalii linaunganisha vilele viwili vya milima ambavyo vinajulikana
kama milima ya Avatar katika mkoa wa Zhangjiajie.
Gari likipita juu ya daraja hilo ikiwa ni sehemu ya majaribio kabla ya uzinduzi
Majaribio pia yalihusisha kupiga kioo cha daraja hilo kwa kutumia nyundo nzito
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni