Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy 
Mwalimu (wa pili kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa 
kukusanya nguvu za pamoja kulinda haki za wasichana nchini Tanzania 
awamu ya pili Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi kutoka 
Shirika la CDF, Kashuma Mtengeti, Mwakilishi wa Shirika la Comic Relief 
Uk, DFID, Jane Miller na Mwenyekiti wa Bodi ya Jukwaa la Utu wa Mtoto 
(CDF), Foturnata Temu.
                                                                       Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mwakilishi
 wa Shirika la Comic Relief Uk, DFID, Jane Miller, akizungumza katika 
mkutano huo wakati akimkaribisha Wazir Ummy Mwalimu (kulia)
 Mwenyekiti wa Bodi ya Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Foturnata Temu 
(kulia), akizungumza katika hafla hiyo wakati akitoa taarifa ya mradi 
huo.
            Wadau mbalimbali na waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo.
Mwakilishi kutoka Shirika la MBE FORWARD UK-Naana Otoo Oyortey akitoa mada kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi huo.
 Mwakilishi kutoka Shirika la CDF, Kambibi Kamugisha, akitoa mada. 
 
 
 
 
  
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni