Greda likisafisha eneo ambalo linatarajiwa kujengwa gati kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi 
  | 
Mkuu
 wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia akiwa na 
viongozi kutoka Wizara ya Nishati na Madini walipotembelea sehemu  
ambayo litajengwa gati mpya eneo la Chongoleani jijini Tanga kushushia 
mafuta ghafi kulia ni Kaimu Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara 
ya Nishati na Madini ,Mwanamani Kidaya kushoto ni Kaimu Meneja wa 
Bandari ya Tanga,Henry Arika
  |  
Mkuu
 wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kushoto akisisitiza 
jambo wakati walipotembelea eneo la Chongoleani ambapo kutajengwa gati 
ya kushushia mafuta ghafi
  |  
| Kaimu
 Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na 
Madini,Mwanamani Kidaya akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
 kulitembelea eneo hilo leo  |  
 
 |  
 
 | 
  | 
| Mkuu
 wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumzia namna mkoa huo 
ulivyojipanga na fursa hiyo mara baada ya kulitembelea eneo hilo | 
  | 
Kaimu
 Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu
 wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa tatu kutoka kushoto namna 
walivyojipanga kutokana na fursa hiyo
  | 
| Kaimu
 Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na 
Madini,Mwanamani Kidaya kushoto akimuonyesha kiti Mkuu wa Mkoa wa 
Tanga,Martine Shigella mara baada ya kutembelea eneo hilo | 
Muonekano wa eneo ambalo kutajengwa gati mpya kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni