Mkuu wa
Wilaya ya Chake Chake Pemba, akitembelea eneo la Idara ya Kilimo ambalo
Wananchi wanaiomba Idara kuwawekea njia ya kupita kabla ya kumaliza
zoezi la uwekaji wa Uzio ili kudhibiti eneo la Idara hiyo.
Mkuu wa
Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib , akionesha eneo
linalolalamikiwa na Wananchi wa kijiji cha Wara karibu na Idara ya
Kilimo Wawi-Pemba.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni