Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dk.
Aziz Ponary Mlima akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi wakati
akifungua warsha ya kimataifa kuhusu mpango wa takwimu za malengo ya
maendeleo endelevu uliofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Alibina Chuwa (kushoto), akihutubia katika warsha hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shaban
(katikati), akipitia nyaraka kwenye warsha hiyo. Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la
Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.
Warsha ikiendelea.
Wadau wa maendeleo wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadau wakifuatilia mada kwenye warsha hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye warsha hiyo.
Warsha ikiendelea.
Taswira
ya meza kuu kwenye warsha hiyo. Kutoka kulia Dk. Verena Knippel,
Mratibu wa Shirika la Global Partinership, Sanjeev Khagram, Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Alubina Chuwa, Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dk. Aziz
Ponary Mlima, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina
Shaban, na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi
wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro
Rodriguez.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni