Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akipiga ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndehe wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016
Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiongea na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam
leo agosti 12, 2016
Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiwasili Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM jijini Dar es es
salaam leo agosti 12, 2016. Anaongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndg
Abdulrahman Kinana na Naibu Katibu Mkuu Ndg Rajabu Luhwavi.
Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni katika Ofisi Ndogo za Makao
Makuu ya CCM jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016
Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akihutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya kupokelewa kwa
nderemo na vifijo Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es es
salaam leo agosti 12, 2016.
Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akilakiwa katika uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni