Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha
viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa
katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza
katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari
yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya
uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa
mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya
uhalifu na wahalifu.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Lindi wakifanya mazoezi
magumu ya kijiweka tayari kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza
ikiwemo watu wasiotii amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria
za nchi.
Askari Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wa mikoa ya Lindi, Iringa, kanda
maalumu ya Dar es salaam na mikoa mengine wakipokea maelekezo mbalimbali
wakati wa mazoezi ya tayari katika kukabiliana na matukio mbalimbali ya uhalifu
na wahalifu (Picha zote na makao makuu ya Jeshi la Polisi.)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni