Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wa
pili kulia), akishirikiana na viongozi wengine akiwemo Mbunge wa Jimbo
la Segerea,Mheshimiwa Bonnah Kaluwa(wa kwanza kushoto), kuzindua
ujenzi wa kituo cha polisi kinachojengwa katika Jimbo la Segerea ikiwa
ni mkakati wa kupambana na uhalifu katika jimbo hilo.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akishiriki ujenzi wa awali wa kituo cha polisi kinachojengwa katika
Jimbo la Segerea ikiwa ni mkakati wa Mbunge wa jimbo hilo kupambana na
vitendo ya uhalifu katika jimbo hilo.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Polisi .Wa kwanza
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Segerea,Mheshimiwa Bonnah Kaluwa. Ujenzi wa
kituo hicho ni mkakati wa kupambana na matukio ya uhalifu yanayotokea
katika jimbo hilo.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(suti
nyeusi), akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wajumbe wa kamati ya
Ujenzi wa Kituo cha Polisi .Naibu Waziri huyo pia aliongoza Harambee ya
Ujenzi wa kituo hicho ikiwa ni mkakati wa Mbunge wa Jimbo hilo Bonnah
Kaluwa, kupambana na matukio ya uhalifu.Naibu Waziri huyo aliongoza
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Polisi .Wa kwanza
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Segerea,Mheshimiwa Bonnah Kaluwa. Ujenzi wa
kituo hicho ni mkakati wa kupambana na matukio ya uhalifu yanayotokea
katika jimbo hilo.
Mbunge
wa Jimbo la Segerea la Segerea, Bonnah Kaluwa, akimuongoza Naibu Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(suti nyeusi) na
viongozi wengine kwenda kutembelea eneo ambapo ujenzi wa kituo cha
polisi katika jimbo hilo umeanza ikiwa ni mkakati wa kupambana na
matukio ya uhalifu jimboni hapo.
Wananchi
wa Jimbo la Segerea, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakati wa
Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Polisi ikiwa ni mkakati wa Mbunge wa
Jimbo hilo, Bonnah Kaluwa, kupambana na matukio ya uhalifu katika jimbo
hilo.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni