NYOSHI EL SADAT AHAIDI KUWAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA

Picha ikionyesha warembo wanaoshiriki shindano la miss kanda ya kaskazini wakiwa wanafanya mazoezi kwa ajili ya shindano linalofanyika jumamosi hii July 6 katika viwanja vya ukumbi Wa triple A .

                                                                                            NaMahmoud Ahmad ,Arusha 

Rais Wa bendi ya FM Academia Nyoshi El Sadat amewahaidi wakazi Wa jiji ya Arusha kuwapa burudani ya nguvu katika onyesho la kumsaka Miss Kanda ya kaskazini.

Akiongea na waandishi Wa habari jijini hapa Mwanamuziki huyo alisema kuwa bendi hiyo imejipanga vya kutosha kuwapa burudana washiki wake

Alisema kuwa katika show hii ya Usiku Wa kumpata mrembo Wa kanda ya kaskazini amekuja na wanamziki wote pamoja na wacheza show wa bendi ya Fm Academia .

"Tunawapa burudani ya kufa mtu tunamastaili mapya ,pia yule mnenguaji ambae wammiss kwa muda mrefu qeen suzy atakuwepo katika onyesho hilo"alisema Nyoshi

Naye mwandaaji wa onyesho hilo Faustine Mwandago alisema kuwa katika show hii atahakikisha washabiki wote wanaifurahia show hiyo

Alisema show hiyo itafanyika kesho jumamosi July sita itaanza kuanzia tatu kamili Usiku na kiingilio kawaida itakuwa kawaida 10000 huku V.I.P 30000.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni