Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
 na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa 
njiani kuelekea jijini Mwanza 
Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza 
na wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza
 
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akitoa taarifa fupi kwaRais wa
 Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla kumualika
 kuongea na wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza
  Mbunge
 wa Sengerema Mhe. William Ngeleja akiwashukuru wananchi wa jimbo lake 
kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania
 Dkt. John Pombe Magufuli jimboni mwake  akiwa njiani kuelekea jijini 
Mwanza
 Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
 na Mbunge wa Misungwe Mhe. Charles Kitwanga baada ya kuzungumza na 
wakazi na wasafiri eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza 
mjini.
 Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
 na mwalimu Mstaafu Mama Zena Seif (61) ambaye alimfundisha darasa la 
tatu wakati akisoma shule ya msingi ya Chato. Hii ni baada ya kuzungumza
 na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na 
kuelekea Mwanza mjini. 
 Wakazi
 wa Sengerema wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania 
Dkt. John Pombe Magufuli alipozungumza nao  akiwa njiani kuelekea jijini
 Mwanza
 Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge 
na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akiwa katika pantoni MV Misungwi
 wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.
 
 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimia mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la  
Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.
 Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
 Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo akiongea na kumkaribisha  mbele ya
  wakazi  wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.
  Rais
 wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
 na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa 
njiani kuelekea jijini Mwanza
 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi mbalimbali wa Usagara 
 Wakazi wa Usagara wakimuaga Rais
 Sehemu nyingi alikuta wananchi wametanda barabarani wakimtaka awasalimu na kuongea nao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni