Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu
Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la
Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. Kushoto ni Askofu wa
Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki
la Bunda, Renatus Nkwande (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la
Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo
yao , Ofisini kwake jijini Dar es alam Agosti 18, 2016. (Picha na ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia) na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni