Mwenyekiti
wa CCM, Rais John Magufuli wakiwasalimia wana CCM na wananchi
waliokusanyika kwenye Ofisi ndogo ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam
kumlaki Agosti 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais
John Magufuli kuzungumza na Wana CCM na wananchi wakati alipokaribishwa
kwenye Ofisi ndogo ya CCM, Lumumba jijini Dar es salam Agosti 12, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe
wa kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia Wana
CCM na Wananchi wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli
alipokaribishwa kwenye Ofisi ndogo ya CCM iliyopo Lumumba jijini Dar es
salaam Agosti 12, 2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiwasalimia wananchi na Wana CCM
waliokusanyika kwenye Ofisi ndogo ya CCM iliyopo Lumumba jijini Dar es
salaam kumlaki Mwenyekiti wao, Rais, John Magufuli wakati alipowasili
Ofisini hapo na Agost 12, 2016 . (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti
wa CCM, Rais John Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitoka Mwanza, Agost 12, 2016.
Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt, Tlia Ackson na wapili kushoto ni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa
CCM wa mkoa wa Dar es salaam, Ramadhani Madabida. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa
kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili
kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitoka
Mwanza, Agost 12, 2016. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt, Tlia
Ackson na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu
Mwenezi wa CCM, Nape Nauye akizungumza kwenye Ofisi ndogo ya CCM
iliyopo Lumumba jijini Dar es salaam katika mkusanyiko wa kumkaribisha
Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli Agosti 12, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Mbunge
wa Ilala, Azan Zungu akizungumza wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais John
Magufuli alipokaribishwa kwenye Ofisi ndogo ya CCM, Lumumba jijini Dar
es salaa, Agosti 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni