Meneja 
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw.
 James Mlowe akizungumza wakati wa semina na wahariri wa Vyombo vya 
habari mbalimbali kuhusu maandalizi ya mafao ya kustaafu inayofanyika 
kwenye jengo la LAPF Tower Makumbusho jijini Dar es salaam, ambapo mada 
mbalimbali zimetolewa kuhusu mafao yanayotolewa na mfuko huo Kutoka 
kulia ni Kafifi Kafifi Afisa Matekelezo Mwandamizi Kanda ya Mashariki 
LAPF, Amina Kassim Meneja wa Kanda LAPF.
Mwenyekiti
 wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Thephil Makunga akizungumza jambo wakati 
wa ufunguzi wa semina hiyo, kulia ni Amina Kassim Meneja wa LAPF Kanda 
ya Mashariki na kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa 
Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe.
Meneja 
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw.
 James Mlowe akizungumzawakati wa semina ya wahariri wa Vyombo vya 
habari mbalimbali kuhusu maandalizi ya mafao ya kustaafu inayofanyika 
kwenye jengo la LAPF Tower Makumbusho jijini Dar es salaam, Kutoka kulia
 ni Kafifi Kafifi Afisa Matekelezo Mwandamizi Kanda ya Mashariki LAPF, 
Amina Kassim Meneja wa Kanda LAPF, Theophil Makunga Mwenyekiti wa Jukwaa
 la Wahariri na kushoto ni Victor Kikoti Meneja Matekelezo LAPF.
Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika semina hiyo inayofanyika kwenye jengo la LAPF Tower jijini Dar es salaam.
Afisa 
Habari wa LAPF Rehema Mkamba akigawa vifaa kwa ajili ya semina ya 
wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya mafao ya kustaafu 
yaliyofanyika kwenye jengo la LAPF Tower jijini Dar es salaam.
Amina Kassim Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akitoa mada katika semina hiyo
Amina Kassim Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akisisitiza jambo mada katika semina hiyo. 
 
 
 
 
  
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni