Mgeni
Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse
International Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akitoa Hotuba kwa wanafunzi
pamoja na wageni waalikwa
Mwalimu
wa Taaluma wa Brookhouse International School Omega Kessy akitoa neno
la utangulizi wakati wa mahafali hayo
Mwalimu
Mkuu wa Sunrise Nursery and Primary School Bw. Onesphor Vitalis
akitoa utambulisho kwa wageni waalikwa waliofika katika Mahafali hayo
ya shule ya awali
Mkurugenzi
Mkuu wa Sunrise Nursery and Primary School Bi. Marry Shirima akitoa
maelezo ya kina juu ya shule hiyo, kumshukuru mgeni rasmi kufika
katika mahafali hayo ya watoto wa shule ya awali pamoja kuwapongeza
kwa kuhitimu
Mgeni
Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International
School Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh.
Mhandisi Stella Manyanya akimpa mmoja wa watoto cheti cha kuhitimu
Elimu ya awali
Mh.
Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee akiwa katika mahafali hayo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni