Viongozi
wa kitaifa wakishiriki katika sala ya kumwombea Ras wa Awamu ya Pili wa
Zanzibar, marehemu Alhaj Abood Jumbe iliyofanyika kwenye msikiti,
Mwembeshauri Zanzibar Agosti 15, 2016. Kutoka kushoto ni Makamu wa
Rais, Mstaafu, Dkt. Mohammed Bilal, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman
Karume, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohammed Shein.
Waombolezaji
wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Rais wa Awamu ya Pili wa
Zanzibar, Alhaj Abood Jumbe katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa
marehemu, Migombani Zanzibar Agosti 15, 2016.
Rais
wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Karume, Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi
na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Ghalib Bilai wakiwa katika
mazishi ya Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Alhaj Abood Jumbe
yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar Agosti 15, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya
Pili wa Zanzibar Alhaj Abood Jumbe katika mazishi yaliyofanyika
nyumbani kwa Marehemu Migombani Zanzibar, Agosti 15, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohammed Ghalib Bilal baada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Pili wa
Zanzibar, Alhaj Abood Jumbe yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu,
Migombani Zanzibar Agosti 15, 2016.
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar
Watoto,
Ndugu, jamaa na Viongozi mbali mbali wakipokea mwili wa Marehemu Mzee
Aboud Jumbe mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Migombani ,Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akishiriki dua maalum mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu
Mzee Aboud Jumbe Mwinyi ambaye alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano na Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ,nyumbani
kwa marehemu Migombani Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (katikati)akishiriki dua maalum kwenye msiba wa Mzee Aboud Jumbe
nyumbani
kwa marehemu Migombani , Zanzibar wengine pichani ni Mke wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Mwanamema Shein (kushoto) kulia
ni mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa.
Baadhi ya Viongozi wa
Serikali na Viongozi wastaafu wakifuatilia shughuli ya Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe leo Mjini Zanzibar.
|
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud ukishushwa kaburini. |
Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ally Mohamed Shein akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe leo Mjini Zanzibar.
|
Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiweka mchanga kwenye
kaburi la aliyekuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe
leo Mjini Zanzibar.
|
Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Mhandisi John Kijazi akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe leo Mjini Zanzibar.
|
Baadhi ya wananchi
waliojitokeza katika Mazishi wakiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Rais
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe leo Mjini Zanzibar.
|
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Mohamed Aboud Mohamed akisoma wasifu wa Marehemu Mzee
Aboud Jumbe wakati wa Mzishi yaliyofanyika Nyumbani kwake Mjini Zanzibar.
|
Sheikh akisoma Duaa Mara baada ya kuuhifadhi Mwili wa Mzee Aboud Jumbe |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni