DK. SHEIN AKUTANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA CHUO KIKUU CHA EL SHATBY CHA NCHINI MISRI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Prof.Saber Waheeb,Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,walipofika ikulu mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,ukiongozwa na Prof.Saber Waheeb (wa pili kulia) leo ulipofika ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Prof.Saber Waheeb,Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,baada ya mazungumzo walipofika ikulu mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2016.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni