MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA JIJI LA ARUSHA YAENDELEA KATA YA KIMANDOL








Baadhi ya wajasiriamali wakifuatilia kwa makini masomo waliokuwa wakifundishwa kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni ya Zebra Promotions ya jijini Arusha ambayo itafundishwa kwa wajasiriamali kweny kata zote na mkoa kwa ujmla picha na mahmoud ahmad arusha


Mkurugenzi wa Zebra Promotions Zuberi Mwinyi akiwa anatoa somo kwa wajariamali kuhusu utengenezaji wa Sabuni ya unga

 Jiko nalo lilikuwa ni sehemu ya mafunzo ya utengenezaji wa sabuni ya unga










Hakuna maoni:

Chapisha Maoni