- Afisa wa TTCL, Diana Obed akitoa maelezo ya bidhaa ya TTCL 4G kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura na Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Clarence Ichwekeleza katika Mkutano wa kwanza wa TEHAMA ambao umeandaliwa na Tume mpya ya Teknolojia Habari na Mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Mshiriki wa Mkutano wa TEHAMA akipata maelezo ya huduma ya 4G LTE kutoka kwa Afisa wa TTCL
Washiriki wa Mkutano wa TEHAMA wakipata maelezo ya huduma ya 4G LTE kutoka kwa Afisa wa TTCL
Washiriki wa Mkutano wa TEHAMA wakipata maelezo ya huduma ya TEHAMA na mawasiliano ya simu zitolewazo na kampuni kutoka kwa Maafisa wa TTCL.
Mshiriki wa Mkutano wa TEHAMA akipata maelezo ya huduma za TTCL |
Washiriki wa mkutano wakinunua laini za 4G LTE katika mkutano huo
Washiriki wa mkutano wakinunua laini za 4G LTE katika mkutano wa TEHAMA,
Washiriki wa mkutano wakinunua laini za 4G LTE katika mkutano huo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura akizungumza na mshiriki wa mkutano wa TEHAMA, uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni