Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ofisi yake kuhusu
utaratibu wa kuhamia Dodoma kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam
Agost 17, 29016.
Baadhi
ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao kuhusu utaratibu wa kuhamia Dodoma
kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam, Agost 17, 2016
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Anthony Mavunde
akizungumza katika Mkutano wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Agost 17, 2016 kuhusu Utaratibu wa
kuhamia Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa
Taasisi zilizoko chini ya Ofisi yake baada ya kuzungumza na watumishi
wa Ofisi yake kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam, Agost 17,
2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,
Kazi, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama , Wapili kulia kwake
ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony
Mavunde na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Dkt. Abdallah Possi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kuzungumza nao kwenye
ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam Agost 17, 2016. Kushoto kwake ni
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na
Walemavu, Jenista Mhagama, Wapili kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya
Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde na kushoto kwake ni
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni