Ndoa za usiku zimepigwa marufuku
nchini Kenya katika mkoa wa pwani Mombasa baada ya mamlaka za mkoa
huo kusema zimekuwa zikikukmbwa na matukio ya uhalifu.
Mamlaka ya mkoa huo imesema imefikia
uamuzi huo baada ya kushamiri kwa matukio ya sherehe za harusi
kuvamia na wahalifu.
Sherehe za harusi Mombasa huwa
zinafanyika hadi kufikia siku tano, zikiwemo pati zinazofanyika hadi
usiku wa manane.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni