Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni ( FIFA ) Joao Havelange amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100 mjini Rio de Janeiro, Brazil.
Joao Havelange ambaye ameiongoza Fifa toka mwaka 1974 - 1998 amefariki akiwa katika hospitali ya Samaritano mjini Rio.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni