Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva akimkabidhi
Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015,
Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson,
wakati kiongozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto ni Kamishna wa Tume Mhe. Jaji Mary Longway.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (kushoto katikati)
akimueleza jambo mgeni wake ambaye ni Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya
Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa
Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson (kulia) wakati mgeni huyo
alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Kamishna
wa Tume Mhe. Jaji Mary Longway.
Kiongozi
wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson (kulia)
akimueleza jambo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst.
Damian Lubuva (hayupo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Tume jijini
Dar es Salaam leo.Kulia kwake ni Mtathmini wa Mradi wa Shirika hilo,
Consolata Sulley.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva akimuonesha
Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson
(hayupo pichani) Taarifa ya Tathmini Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka
2015, ambayo pia alimkabidhi mgeni wake alipotembelea Ofisi za Tume
jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bi. Giveness Aswile
akimueleza jambo Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa
Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania,
Sue Nelson wakati alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu wa Tume, Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,
Adam Nyando.
Kamishna
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Mary Longway (kushoto) akitoa
shukrani kwa Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa
Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania,
Sue Nelson (kulia) ambaye ametembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Mst. Damian Lubuva na
wa pili kulia ni Mtathmini wa UNDP, Consolata Sulley.
Picha na Hussein Makame, NEC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni