Mkurugenzi
wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi
Msuya (kulia) akitoa neno la shukrani kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya
Amsons-Camel Bw. Salim A.Salim baada ya kukabidhi msaada wa Mifuko 1000
ya Seruji kwa ajili ya waathirika wa Tetemeko la Ardhi la Kagera Novemba
09, 2016 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Mkurugenzi
wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi
Msuya (katikati) akipeana mkono wa shukrani na Meneja Mkuu wa Kampuni ya
Camel Bw. Salim A. Salim wakati wa kuwasilisha msaada wao wa mifuko
1000 ya Seruji kwa waathirika wa maafa Kagera, wa kwanza kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Amsons-Camal Bw. Ghalib H. Ghalib. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni