Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakati
alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa
Barabara hiyo jana,(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma
Majid Abdalla,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mgelema wakati
alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kipapo-Mgelema Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa
Barabara hiyo jana,akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 07
Nov 2016.
Wanafunzi
wa Skuli ya Mgelema walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati
alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa
wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo
jana akiwa na ujumbe aliufuatana nao,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Baadhi
ya Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara
ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya
ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07
Nov 2016.
Mwakilishi
wa Kijijhi cha Ngomeni Ibrahim Zubeir Mwasiku akisoma risala kwa niaba
ya wananchi wa kijiji hicho wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofika Kijijini hapo pamoja
na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya
Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya
kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Afisa
Mdhamini wa Wizara ya Afya Nd,Bakari Ali Bakari akitoa ufafanuzui wa
utoaji wa huduma kwa Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein alipofika Kijijini hapo pamoja na kuwasalimia Wananchi
wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa
Barabara hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Baadhi
ya Wananchi wa Kijiji cha Mgelema,shehia ya Mgelema wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara
ya Kipapo-Mgelema Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara
ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07 Nov
2016.
Baadhi
ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa
Kijiji cha Mgelema wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya
Kipapo-Mgelema Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya
ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,akiwa na ujumbe
aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni