Polisi
wa kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dar es Salaam, akiongoza bajaj
wakati wa maandaano ya uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Dar
es Salaam kwenye viwanja vya Mwembe-Yanga Novemba 7, 2016. Katika
uzinduzi huo ambao mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Bw. Felix Lyavivaakimwakilisha
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Kikosicha usalama
barabarani kilitumia wasaa huo kuwaelimisha wananchi, sheria mbalimbali
zinazosimamia usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kuchukua tahadhari
kwa madereva wa vyombo vya moto, na matumizi ya alama za kuongoza magari
pamoja. Wilaya zote tatu na zile mpya ziliwakilishwa na makamanda wa
vikosivya usalama barabarani, wakiongozwa na wajumbe wa baraza lausalama
barabarani la mkoa. Sambamba na hayo, palikuwepona burudani mbalimbali,
wakiwemo wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Tunda Man na Msaga Sumu
ambaye wimbo wake unatumika kutangaza hatua za kuzngatia katika
kuzingatia sheria za usalama barabarani, lakini pia walikuwepo wasanii
wa jeshi la polisi na wale wanafunzi ktoka shule ya Jeshi la Wokovu.
Uzinduzi huo ulitanguliwa na maanadamano ya waendesha bodaboda, bajaji,
magari ya kawaida na yale ya mafunzo ya udereva.
Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dar es Salaam, akiongoza
maandamano ya magari wakati yakiwasili viwanja vya Mwembe-Yanga,
Temeke jijini Dar es Salaam
Mgeni
rasmi, Mkuu wa Wilayaya Temeke jijini Dar es Salaam, Bw. Felix Lyaviva
akisalimiana na makamandawa polisi, Uhamiaji, Magereza, Zimamoto,
viongozi wa dini na wajumbe wa baraza lausalama barabarani mkoa wa Dar
es Salaam.
Bw. Lyaviva akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, SACP, Gilles Mroto
Mkuu wa Wilaya akisalimiana na mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Aziz Varda
Mkuu wa Wilaya akisalimiana na mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Iddi Azan
Mkuu wa Wilaya akisalimiana na mjumbe wa baraza la usalama barabarani
mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa
Salum
Mkuu wa wilaya akisalimiana na Makuu wa Uhamiaji wilaya ya Temeke
Mkuu wa Wilaya akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, SACP, Salum Hamduni
Mkuu wa wilaya akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kionondoni, ACP Theopista Malya
Mkuu wa wilaya akisalimiana na Mkuu wa magereza
Mkuu
wa wilaya akisalimiana na Kamanda wa polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani Wilaya ya Temeke, (RTO), ASP, Solomon Mwangamilo.
Polisi wa Usalama barabarani wakiwasili kwa maandamano
Brass Band ya polisi ikiongoza maandamano
Wanafuzni wa sekondari
Meza kuu
Maafisa wa polisi na wajumbe wa baraza la usalama barabarani
Kwaya ya shule ikiongozwa na afisa wa polisi, ikihamasisha umuhimu wa kuzingatia sheria zausalama barabarani
Msanii wa jeshi la polisi
Kamanda wa polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Temeke, (RTO), ASP, Solomon Mwangamilo.
Mkuu
wa kituo cha polisi (OCS), stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo
Bus Terminal, ASP, Sarah Bundala, akiwasikiliza vijanahawa ambao ni
madereva wa bodaboda
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, MsagaSumu (kushoto) na Tunda Man, wakitumbuiza huku mlinzi wao (Bodyguard) akiwa nyuma
Afisa wa polisi wa kikosi cha usalama barabarani Sophia, akiwaongoza wanafunzi
Mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Iddi Azan, akiteta jambo na Kamanda Solomon
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro(kushoto) akimkabidhi
Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini,Henry Tzamburakis cheti cha
kutambua mchango mkubwa wa udhamini unaotolewa na kampuni hiyo katika
kuadhimisha wiki ya Usalama barabarani jijini Arusha.
Baadhi ya Askari wa Usalama
Barabarani wakitazama bidhaa za Vodacom katika banda la Vodacom Tanzania
kwenye wiki ya Usalama barabarabani inayoadhimishwa jijini Arusha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni