Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi
Ubani wa Serikali kwa Mzee Khamis Vuai mwakilishi wa Familia ya
Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar {ZEC} Marehemu Jaji
Zubeir Juma Mzee aliyefariki Dunia jana na kuzikwa kijiji kwao Mbuzini
Wilaya ya Magharibi “A”.
Baadhi ya Familia ya Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
marehemu Jaji Zubeir Juma Mzee wakipokea nasaha za pole kutoka kwa
Balozi Seif hayupo pichani alipofika kutoa mkono wa pole.Wanafamilia wa Marehemu Jaji Zubeir Juma Mzee wakitafakar jambo wakati wa kupokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kijijini pao Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A”. Picha na – OMPR – ZNZ.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni