Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Dk. Kitilya Mkumbo akielezea kwenye mkutano wa wadau wa elimu
mjini Dodoma, mambo mbalimbali yanayokwamisha maendeloeo ya elimu na
jinsi ya kuiboresha. Mkutano huo ambao pia walishirikisha wabunge
umeandaliwa na Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU).
Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu na Mbunge wa Jimbo la Mbeya
Mjini, Joseph Mbilinyi wakisikiliza kwa makini mada kuhusu uboreshaji
wa elimu nchini.
Washiriki wakiwa katika mkutano huo
wa kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya elimu nchini
na jinsi ya kuziboresha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni