Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtangazaji Tido Mhando wakati akiuliza maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayoub
Rioba wakati wa kupokea maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo
mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika
ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
mwanahabari Sammy Awami wa BBC wakati akiuliza maswali
kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonazi wakati akiuliza maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Msanii Mrisho Mpoto akiimbwa wimbo wa "SIJONZE" wakati alipokutana na
wahariri kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijibu maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni