Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015 
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
Mshairi
 Neema Komba, kutoka La poetista akifannya ushairi wake wakati wa 
onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya 
Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Grace Matata, akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
Eric Omondi akiimba wimbo wake wa Nabeba Mawe
Mchekeshaji Eric Omondi akivunja mbavu za mashabiki waliohudhuria onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
DJ Gregg Mwendwa wa Santuri Safari kutoka Kenya akicheza 'ngoma' wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
Hawa ni mashabiki, uzalendo umewashinda wakajitupa jukwaani kucheza 
Mwanamuziki Leo Mkanyia akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert 
(EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
Watu walicheeeeeka mpaka basi, usicheze na Omondi
Wanamuziki wa Sarabi Band kutoka Kenya wakitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
Hakuna mchezo Sarabi band wakiwa kazini
Mashabiki wakicheza muziki wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert 
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam
Watu walikuja kwa wingi kushuhudia show ya East Africa Vibes Concert 
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res 
Salaam. Picha zote na Pamoja Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni