WANAJESHI WA MAREKANI WALIOTIBUA SHAMBULIZI LA KIGAIDI NDANI YA TRENI YA MWENDO KASI WAPEWA TUZO NA RAIS



  
Zawadi za waliotibua shambulizi Ufaransa.

Mwanajeshi Mmarekani ambaye alijeruhiwa Spencer Stone alipomuangusha mwanamgambo huyo sakafuni , alipewa tuzo hilo pamoja na Waamerika wengine na Muingereza mmoja ambao wote wametajwa kuwa mashuja.

Bwana Hollande alisema kuwa kungetokea maafa kwenye treni hiyo iwapo abiria hao hawangechukua hatua.Waziri mkuu wa Ubelgiji Charles Michel na balozi wa Marekani nchini Ufaransa Jane Hartley walishudhuia sherehe hizo.BBC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni