| Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora. | 
| Bw. Miles nae akichangia wakati wa mjadala kuhusu mabadiliko ya kiuchumi nchini Tanzania na namna ya kuwashirikisha wafanyabiashara wadogo na wakati katika maendeleo ya nchi. | 
| Balozi Mulamula akizungumza wakati wa mjadala huo . | 
| Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing akiwasilisha mada kuhusu Mapinduzi ya Viwanda nchini na wajibu wa Diaspora katika ukuaji wa SME's | 
| Balozi Lu akiwasilisha mada yake | 
| Washiriki wakifuatilia mada kutoka kwa Balozi wa China | 
| Mada zikitolewa | 
| Maafisa Mambo ya Nje wakijadili jambo | 
| Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo akizungumza wakati wa kongamano hilo | 
| Mada zikiendelea kutolewa wakati wa kongamano hilo | 
| Washiriki wa kongamano .Picha na Reginald Philip | 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni