Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba 
wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma 
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wanafunzi  shule Darasa la nne Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba 
wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma 
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba
wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma 
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wanafunzi  wa Darasa la awali  Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba
wimbo  wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni 
jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Shule ya Kimataifa ya Joyland, Fedrick Otieno akiwasaidia 
watoto wa darasa la awali kupanda juu ya jukwaa kuimba wimbo maalum 
wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini 
Dar es Salaam
Wanafunzi waDarasa pili Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakicheza ngoma ya
utamaduni (Ndolela) wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo 
Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam
Skauti wa Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiruka sarakasi  wakati wa 
mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es 
Salaam
Mhitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, Colin Christopher 
akisoma hotuba wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma 
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mkaguzi Mkuu wa Elimu Kanda, Shani Kanungira akitoa hotupa ya awali kabla 
ya mgeni rasmi wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma 
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Msingi Manispaa ya Temeke, Frank Makingi 
akizungumza Tuangoma Kigamboni Dar es Salaam wakati wa mahafali ya pili 
ya shule hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni