Mgeni
wa rasmin katika mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Polisi Zanzibar
Kamishna wa Polisi Zanzibar Ndg Hamdanmi kulia Mwenyekiti wa ZFA Wilaya
ya Mjini Ndg Hassan Chura na kushoto Mjumbe wa Kamati Tendaji ya ZFA
Taifa Hashim Salum na Kiongozi wa timu ya Polisi.wakisimama wakati
ukipigwa wimbo wa Polisi na Usalama wa Raia kabla ya kuaza kwa mchezo
huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan Simba imeshinda 2--0
Wachezaji
wa timu ya Polisi na Simba wakisimama wakati wa kupigwa kwa wimbo wa
Usalama wa Raia kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki kujiandaa na
michezo ya Ligi Kuu inayotarajiwa kuaza mwezi ujao.
Makocha
wa Simba wakifuatilia wimbo huo maalum uliopigwa wakati wa mchezo wao
wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba imeshinda 2--0.
Kamishna
wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya
Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika
uwanja wa amaan.
Kamishna
wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya
Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika
uwanja wa amaan.
Kikosi
cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka
kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa
Amaan Zanzibar.
Kikosi
cha timu ya Simba kilichotowa kipigo cha mabao 2--0 dhidi ya timu ya
Polisi Zanzibar wakati wa mchezo wao wa kujipima nguvu wa tatu kisiwani
Zanzibar ikiwa imeshinda michezo yake yote
Mchezaji wa timu ya Simba akimiliki mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo
Kazi hiyo kuwania mpira kati ya wachezaji hawa wakiwa wameinua madaruga yao juu bila ya mafanikio kuupata mpira.
Mshambuliaji
wa timu ya Simba na kipa wa timu ya Polisi wakiwania mpira wakati wa
mchezo wao huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan Simba imeshinda
2--0.
Kipa wa timu ya Polisi akiokoa mpira golini kwake huku mchezaji wa Simba akiwa nyuma yake
Mchezaji
wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Polisi wakati wa mchezo wao
wa kirafiki kujipima nguvu kujiandaa na Ligi Kuu zinazotarajiwa kuaza
hivi karibuni Ligi ya Tanzania Bara na ya Zanzibar.
Mchezaji
wa Simba akijiandaa kumpita beki wa timu ya Simba, wakati wa mchezo wao
wa kirafiki katika mchezo huo timu ya Simba imeshinda 2--0
Wachezaji wa timu ya Simba na Polisi wakiwania mpira
Mshambuliaji wa timu ya Simba akiweka majaro golini kwa timu ya Polisi
Picha na OthmanMapara.Blog Zanzinews.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni