Rais wa zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM katika
mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar
leo.
[Picha na Ikulu.]
Maelfu ya Wananchi na wanaCCM
wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya
Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni