Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene, akiwa amekaa kwenye madawati amabayo amekabidhiwa na benki ya Posta kwa ajili ya shule za ileje
posted on
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi katibu wa
CCM Wilaya ya Ileje Hamida Mbogo madawati ya kwa ajili ya shule za
sekondari na msingi wilayani ileje ambayo yametolewa na benki Posta Tawi
la Tunduma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni