Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla (kushoto) akisalimiana na Kaimu Mtendaji
Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mary Mtukula
alipowasili katika eneo la Mtambo wa Ruvu juu Darajani Wilayani Bagamoyo
Mkoa wa Pwani Agosti 25, 2015 wakati wa ziara ya siku tatu ya kukagua
maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam
ambapo miradi hiyo inasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka
(DAWASA).
Ujenzi uifadhi wa pampu ukiendelea.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla akikagua moja ya transfoma ya umeme
kwaajili ya kuongeza uwezo wa utendaji kazi wa mashine mpya zitakazo
fungwa,Waziri Amos Makalla anafanya ziara siku tatu ya kukagua
maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam
ambapo miradi hiyo inasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka
(DAWASA).
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla
akipata maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi Uendeshaji na Mazingira
DAWASA, Modesta Mushi kuhusiana na upanuzi wa mtambo wa kuongeza
uzalishaji kutoka mita za ujazo 82,000 hadi 196,000 kwa siku.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi
na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji ruvu Darajani.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa
kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na
Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu
kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka
(DAWASA), Mary Mtukula, Injinia Masudi Omari, Meneja Usimamizi
Uendeshaji na Mazingira DAWASA, Modesta Mushi wakikagua maendeleo ya
mradi wa kituo cha kusafisha maji cha Ruvu juu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni