![]() |
| Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Bw.Hab Mkwizu akifungua Kongamano la kwanza la Serikali Mtandao jijini Arusha leo. |
![]() |
| Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha(RAS)Addoh Mapunda akizungumza kwenye ufunguzi mapema leo. |
![]() |
![]() |
| Wajumbe wakifatilia mada kwa makini |
![]() |
| Wajumbe kutoka taasisi mbalimbali za serikali wakiwa kwenye kongamano hilo. |






Hakuna maoni:
Chapisha Maoni