MAGWIJI
WA UBUNIFU WA NGUO NA WATAALAMU WA USHAURI WA NGOZI WANAPENDA
KUWATAARIFU WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA KUWA TAREHE 9/8/2015 KUTAKUWA NA
UZINDUZI WA TAWI LA DUKA LA VIPODOZI LA FLORA SHOW ITAKAYOFANYIKA SIKU
YA JUMA MOSI KATIKA HOTELI YA KITALII YA SNOWN CREST
KATIKA UZINDUZI HUO PIA UTAPAMBWA NA SHOW YA KUKATA NA SHOKA AMBAPO MAGWIJI WA UBUNIFU WA MAVZI WATONYESHA MAVAZI YA AINA MBALIMBALI IKIWEMO YA HARUSI ,VAZI LA HARUSI YA KIMAASAI PAMOJA NA VAZI LILILOMPA USHINDI SAIDA KESY
MTAALAMU WA USHAURI WA NGOZI HAPA NCHINI KENEDY MLAWA ATATOA USHAURI JUU YA VIPODOZI VINAVYOENDANA NA NGOZI YAKO
KIINGILIO NI SHILINGI 10,000/= BADALA YA SHILINGI 30,000/=IKIWA KAMA OFA YA SIKUKUU YA NANENANE,
WADHAMINI WAKUU NI ZINDUKA MWANAMKE NA FLORA SHOW AMBAPO TIKETI ZINAPATIKA KATIKA OFISI YA ZINDUKA MWANAMKE NANE NANE,DUKA LA FLORA SHOW NANENANE,STENDI KUBWA YA MABASI JENGO LA KILUVIA KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA KWA SIMU NO,0755 950158
MUDA SAA KUMI NA MBILI JIONI…NYOTE MNAKARIBISHWA!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni