MATOKEO y kura za maoni wilaya ya Longido, Lesion
Mollel, kura 277,Daniel Mariri kura 670
Emanuel Sirikwa kura 1029 ,Lee Mamasita Lucas 1455, Pholip Kitaso kura
4096,Lomayani Lokodiye kura 4579 Joseph Kuluju kura 5452 Dakta Siphen Kiluswa
kura 20,085
Esupati Naikara katibu.
wilaya ya Arusha DC, jimbo la Arumeru magharibi,
Osiligi Cornelius Losai, kura 1206, Henry Obid Mejooli kura 2025 David Ng’ida
Mollel kura 2183 Elisa David MNollel,
kura 3253,Furaha Lekoko Lepilal,kura 8450
Loy Thomas Sabaya kura 10, 321 .Fredirick Sabuni katibu
Wilaya ya Ngorongoro, Patick Kasango, kura 3222
,Joseph Saitoti, kura 2384, Saning’o ole Telele kura 6432, Dakta Eliaman
Lolitaika kuea 10,588, Elisa Ngorisa, kura 15,519 , Willium ole Nasaha kura 30,
359 Eliud Shemauya katibu ccm wilaya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni