Wananchi wa Kijiji cha Kagoma Wilayani Muleba wakijipatia mahitaji mbalimbali katika Soko lao
Mungu ndiye Muweza mpaka kufika hapa si Elimu, nikitokea Bukoba Mjini na nikiwa nimeshuka hapa Muleba niweze fika Kataa ya Rulanda Mkoa wa Kagera nisafiri kwa Basi la Princess Muro |
Abiria wakiwa amejifunga mkanda kwa ajili ya Usalama katika Basi la Princess Muro
Nikiwa katika Kijiji cha Nyabule Mkoani Kagera Wilaya ya Muleba, Nikiwa nimekalia nyasi na nikizitazama kwa kuzingatia asili ya watu wa Bukoba kwa kudumisha mila.
Baada ya kushuka Muleba natafuta Usafiri mwingine kwenda Rulanda Mkoani Kagera
Muleba natafuta Usafiri mwingine kwenda Rulanda Mkoani Kagera
Kijiji cha Rulanda Mkoani Kagera nijaribu kusikia uzito wa mkungu wa ndizi ambapo wakiuza mkungu mmoja Sh. elfu 6 hadi elfu 5
Nyegera turye Ebitoke ne empelege.
Asili ni kwa chakula hiki kwa mzaliwa wa Bukoba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni