Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao la Continental
na wachekeshaji maarufu hapa Nchini ,Braza K na Gonga katika maonyesho
ya sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda
ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani,(Habari Picha na MAHMOUD AHMAD WA MANYARALEO BLOG)
Meneja
masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha
Mtemi Mangumi akiwa anazungumza na waandishi wa habari juu ya faida ya
king'amuzi hicho ambapo alisema faida moja wapo ni kuwa mnunuzi atapata
chaneli 26 bure za ndani na nje ya nchi,mtumiaji anaweza kurekodi
kipindi,habari,burudani na baadae kuja kutizama,inatunza kumbukumbu kwa
siku saba
Mchekeshaji
maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha Televisheni
Star TV Andrew Ngonyani a.k.a Braza K akiburudisha katika banda la
Continental katika maonyesho ya nanenane kanda ya kaskazini

Star TV Hassan Lai a.k.a Gonga akiburudisha katika banda la Continental
katika maonyesho ya nanenane kanda ya kaskazini
Meneja masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi
kushoto akiwa na meneja mauzo na masoko wa king'amuzi cha Continental
Arusha Halima Mandi katika banda lao viwanja vya maonyesho nanenane
kanda ya kaskazini
Hellen Hardson mfanyakazi wa Sahara Media Group akiwa anampa mteja maelekezo juu ya king'amuzi cha Continental
Meneja
masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi akiwa
na Mchekeshaji maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha
Televisheni Star TV Andrew Ngonyani a.k.a Braza K
Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao la Continental
na wachekeshaji maarufu hapa Nchini ,Braza K na Gonga katika maonyesho
ya sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda
ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani,(Habari Picha na Mahmoud Ahmad wa manyaraleo blog)
Meneja
masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha
Mtemi Mangumi akiwa anazungumza na waandishi wa habari juu ya faida ya
king'amuzi hicho ambapo alisema faida moja wapo ni kuwa mnunuzi atapata
chaneli 26 bure za ndani na nje ya nchi,mtumiaji anaweza kurekodi
kipindi,habari,burudani na baadae kuja kutizama,inatunza kumbukumbu kwa
siku saba
Mchekeshaji
maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha Televisheni
Star TV Andrew Ngonyani a.k.a Braza K akiburudisha katika banda la
Continental katika maonyesho ya nanenane kanda ya kaskazini
Mchekeshaji
maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha Televisheni
Star TV Hassan Lai a.k.a Gonga akiburudisha katika banda la Continental
katika maonyesho ya nanenane kanda ya kaskazini
Meneja masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi
kushoto akiwa na meneja mauzo na masoko wa king'amuzi cha Continental
Arusha Halima Mandi katika banda lao viwanja vya maonyesho nanenane
kanda ya kaskazini
Hellen Hardson mfanyakazi wa Sahara Media Group akiwa anampa mteja maelekezo juu ya king'amuzi cha Continental
Meneja
masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi akiwa
na Mchekeshaji maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha
Televisheni Star TV Andrew Ngonyani a.k.a Braza K
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni