Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Wazee wa Tandale, wakati alipotembelea Soko la Tandale, jijini Dar es salaam jana, akiambatana na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni (kushoto).
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakipata maelezo kutoka kwa Bw.Omari Juma (kulia) ambaye ni mfanyabiashara ya kuuza Maharage katika Soko la Tandale, Manzese Jijini Dar es salaam jana Agosti 25, 2015, wakati walipotembelea Soko hilo kujionea hali ya biashara masokoni.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapungia wananchi wa Tandale, Manzese Jijini Dar es salaam .
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimsikiliza kijana ambaye ni muendesha baiskeli ya miguu mitatu (guta) aliekuwa akitoka kwenye Soko la Tandale, Manzese Jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi Mkubwa (jina lake halikupatikana kwa haraka) aliekutana nae ndani ya Soko la Tandale, Manzese Jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipata kikombe cha chai ya maziwa iliyokuwa ikiuzwa na Mwanadada (jina lake halikupatikana mara moja) wakati alipotembelea soko la Tandale, Manzese, jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwaaga wananchi wa Tandale, Manzese, jijini Dar es salaam .
Umati wa watu ukiwa umefurika nje ya Soko la Tandika, Temeke jijini Dar es salaam kutaka muwaona Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, waliotembelea Soko hilo jana Agosti 25, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakitembelea Soko la Tandika, Temeke Jijini Dar es salaam .
Kijana Alex aliekuwa akiuza maji ya kwenye vifuko vya plastiki, akizungumza jambo na Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, wakati walipotembelea Soko la Tandika, Temeke Jijini Dar es salaam .
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakikata mitaa ya Soko la Tandika, Temeke Jijini Dar es salaam.
Vijana wa Tandika wakiwashangilia Wagombea hao.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwaaga wananchi wa Tandika.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni