Mjumbe
 wa Kamati kuu ya CCM na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa
 CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye 
mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jioni 
ya leo.
  
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia
 wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson 
Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda 
akishuhudia tukio hilo.
  
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia 
umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo 
aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na 
hatokuwa na simile kwa watendaji wazembe.
Wananchi
 wa Sumbawanga mjini wakiwa wamefurika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela
 wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa 
chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera kwa 
wananchi
Wananchi
 wa Sumbawanga mjini waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Nelson 
Mandela jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni ambapo Mgombea Urais wa 
CCM Dkt Magufuli aliwahutubia.
Mjumbe
 wa Kamati Kuu ya CCM,Mh.Pinda akimtambulisha Dkt Magufuli kwa wananchi 
wa Kata ya Majimoto,wilaya ya Mlele mkoani Katavi kwenye mkutano wa 
Kampeni.
Umati
 wa wananchi wa Kitai wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wakimsikiliza 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM 
Dkt John Pombe Magufuli lipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye 
mkutano wa Kampeni.
Mgombea
 Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
 Pombe akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha 
Maji moto wilayani Mlele mkoani Katavi.
Umati
 wa wananchi wa Namanyere walayani Nkasi mkoani Rukwa wakiwa wamefurika 
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia 
chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli lipokuwa akiwahutubia jioni ya leo
 kwenye mkutano huo wa Kampeni
 
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili 
kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia 
wakazi wa mji huo.
 Mgombea
 wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi 
waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Mgombea
 Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
 Pombe Magufuli akimnadi jukwaani anaewania nafasi ya Ubunge katika 
jimbo la Nkasi Ndugu Ali Kessy,mbele ya wananchi wa Namanyere wilayani 
Nkasi jioni ya leo kwenye mkutano wa Kampeni. 
 Baadhi
 ya Wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa 
kampeni uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo.
Mgombea
 Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
 Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa mji wa Namanyere wilayani Nkasi
 (hawapo pichani),kabla ya kuanza kuwahutubia kwenye mkutano huo wa 
kampeni,kati ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda pamoja na
 anaewania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Nkasi Ndugu Ali Kessy
 Moja ya bango lililobebwa na baadhi ya wafuasi wa CCM ndani ya uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga jioni ya leo.
 
 Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga 
mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM 
Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
 Baadhi
 ya Wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa 
kampeni uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo.
Mgombea
 Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
 Pombe akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lunyala,wilayani Nkasi 
alipokuwa akielekea mjini Namanyere kuwahutubia wananchi kwenye mkutano 
wa kampeni.






















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni