SEMINA YA EPA BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake) na wabunge wengine wakimsikiliza Profsa Paramgamba Kabudi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (kulia) wakati alipotoa mada kuhusu Mkataba wa EPA kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Novemba 6, 2016. (Picha na Ofifi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni