Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho
hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba.
hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba.
Humu
utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari,
kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata
filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni