Bondia Manny Pacquiao amerejea
ulingoni na kupata ushindi wa majaji wote dhidi ya bingwa wa mkanda
wa WBO, Jessie Vargas, na kutwaa mkanda huo wa uzito wa welterweight
Jijini Las Vegas.
Bingwa huyo wa zamani wa dunia
Pacquiao, 37, alitangaza kujiuzulu masumbwi baada ya kumpiga Timothy
Bradley mwezi Aprili.
Katika mchezo wa jana usiky matokeo
ya majaji wote watatu yalikuwa ni pointi 114-113, 118-109 na 118-109
yakionyesha Mfilipino Pacquiao ndiye mshindi kwenye pambano hilo.
Bondia Manny Pacquiao akimsukumizia konde la kulia Jessie Vargas
Jassie Vargas akimrushia ngumi ya tumboni Manny Pacquiao
Bingwa wa zamani wa dunia Floyd Mayweather Jr akifuatilia pambano hilo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni