Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiangalia mwani katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar, Dole Wilaya ya Maghribi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo wakati alipotembelea akiwa katika ziara maalum,[Picha na Ikulu.] 30 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiuliza suala kwa Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Ahmed Abrahmani Rashid (kulia) alipofika kutembelea Eneo la ujenzi wa Hospitali kubwa ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara maalum,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan,[Picha na Ikulu.] 30 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akimuuliza suala Mtafiti wa Magonjwa na Uzalishaji Mifugo Dkt.Waridi Abdulla Mussa (kulis) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mtafiti huyo alifikas kuasngaslias kuku wa asili (kienyeji) akiwa katika ziara ya kutembelea katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dole Wilaya ya Maghribi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 30 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akimuuliza suala mtaalam wa Ramani kutoka Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Nd,Juma Ameir (kulia) alipokuwa akiangalia ramani alipotembelea Eneo la ujenzi wa Hospitali kubwa ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni Katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara maalum,(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan,[Picha na Ikulu.] 30 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya angalia mwani katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dkt.Kassim Gharib (wa pili kulia) wakati alipotembelea katika eneo la Taasisi hiyo iliyopo Dole Wilaya ya Maghribi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo wakati alipotembelea akiwa katika ziara maalum,[Picha na Ikulu.] 30 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan(kushoto) alipotembelea Eneo la ujenzi wa Hospitali kubwa ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni Katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Mhe.Haji Omar Kheir Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idare malum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri, [Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni